Dodoma Kunani
Je wazo la kuhamia Dodoma lilitoka wapi? Mbona hatujahama mpaka leo? Na ni sababu gani zilimkwamisha Nyerere kuitimiza ndoto hii? Elewa miaka 50 ya ndoto hii ndani ya dakika 5 – kupitia macho ya Mzee Msekwa, Rais Magufuli na Mwalimu Nyerere.
ONA STORIES
CLIENT
Anaza Group
YEAR
2019
SERVICES
Documentary
VISIT WEBSITE