20 Nov 2019 Ona Stories Ona Stories Kuhamia Dodoma: Elewa chanzo chake, sababu za Nyerere kushindwa, na je Magufuli atatufikisha? Miaka 50 ya ndoto hii ndani ya dakika 5 — kupitia macho ya Mzee Msekwa, Rais Magufuli na Mwalimu Nyerere. Africa, Digital Content, Documentary, Tanzania, Video